.

1/14/2019

VIDEO: Haji Manara kusaidia walemavu Tanzania nzima, "Siwezi kuwa maarufu halafu sirudishi"


Haji Manara ambaye ni msemaji wa Simba, ametangaza January 27, 2019 siku ambayo atazindua manukato yake pia atafanya uzinduzi wa  foundation yake itakayokuwa na jina la Haji Manarra ambayo itakuwa ikiwasaidia watu wenye ulemavu Tanzania nzima.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE