VIDEO: ''Spika kumuita Halima Mdee ni kumuonea''

Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu nchini, Ana Henga amesema ni kweli Bunge ni dhaifu pia kitendo cha Spika wa Bunge Job Ndugai kumuita Mbunge wa Kawe, Halima Mdee  ni kumuonea kwani kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake na hamna sheria inayomkataza kutoa maoni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE