VIDEO: MAKALA: Tumia Sekunde tatu za kumtongoza mwanamke, ukimkosa katambike

Sekunde tatu ni sekunde za maangamzi dhidi yako na yule unayemuona mbele yako. Endapo ukimwona mwanamke ambaye unataka kumtongoza, kwa kawaida kuna zile sekunde tatu za kwanza ambapo unafaa uchukue hatua kabla ile sauti ambayo inajaribu kuongea na wewe kukuzuia kufanya hivyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE