.

1/13/2019

VIDEO: Mnyika amtikisa Spika ''Bunge ni dhaifu''

Mbunge wa Kibamba ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA bara, John Mnyika amesema kutokana na muundo wa bunge namna ulivyo dhaifu wakiachia mswada wa vyama vya siasa ujadiliwe bungeni itakuwa tofauti na mawazo ya wadau wanaochangia kutunga sheria hiyo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE