VIDEO: Mzee wa "Sukuma Ndani" ampiga chini kigogo wa serikali, "Ulipofua sisi tunaanika"

 
Mkuu  wa  mkoa wa  Tabora  Aggrey Mwanri  ameagiza  Mamlaka  za  kinidhamu  kuwasimamisha  kazi Afisa Ushirika wa  Halmashauri  ya  wilaya  ya  Uyui, kutokana na  kushindwa  kutekeleza  baadhi  ya  majukumu  ya kazi yake  ikiwemo  kuwaacha  wakulima  waendeshe  kilimo  cha Pamba  pasipo  kufuata  kanuni  za  kilimo  cha  zao  hilo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE