.

1/11/2019

VIDEO: Pluijm atamba baada ya Azam FC kutinga fainali kombe la Mapinduzi

Mchezo wa Nusu Fainali ya Kwanza kati Azam na KMKM umemaliza kwa Azam kuibuka na ushindi wa Bao 3-0 na kujihakikishia kuingia fainali kwa mara tatu ya mfululizo katika kombe la mapinduzi Zanzibar.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE