Kituo cha Haki za Binadamu Nchini TLHRC leo Januari 22, 2019 kimesema Wananchi wapatao watano wilayani Ngorongoro wanadaiwa kufungwa kamba na kutundikwa juu na kupewa kipigo kutoka kwa Jeshi la Polisi baada ya kudaiwa kuiba kwenye kampuni ya Simba B inayojishughulisha na shughuli za utalii wilayani humo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE