VIDEO: Rammy Galis aahidi kuachia filamu mpya kutoka Nigeria baada ya miezi 2


Baada ya muigizaji  Rammy Galis kufanya vizuri na filamu ya "Red Flag" mpaka kupata nafasi ya kwanza kuonyeshwa  katika uzinduzi wa kipengele cha filamu za kigeni katika tamasha la Sinema Zetu International Film Festival 2019  uliofanyika katika ukumbi wa City Mall jijini Dar es Salaam, muigiaji huyo ameahidi kuachia filamu nyingine mpya baada ya miezi miwili ambayo ameitengenezea nchini Nigeria na imepewa jina la "Her Shoes".

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE