VIDEO: Shilole amkataa Tanasha, ampigia debe Zari aolewe na Diamond/ Amtaja Wema Sepetu


Msanii Shilole amemtaka Diamond kufunga ndoa na mama watoto wake Zari The Bosslady na sio Tanasha kama mwenyewe alivyoweka wazi. Shilole ametaja sababu za kumkubali Zari ni kuwa mwanamke mrembo na mjasiriamali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
 
Mpya zaidi Nzee zaidi