.

1/12/2019

VIDEO: "Tupo kwa ajili ya timu, tunapambana, Tunasahau matokeo ya JS Saoura" - John Bocco


Kepteni wa timu ya Simba, John Bocco amefunguka kuwa wao kama wachezaji wapo kwa ajili ya kuipambania Simba na kuhakikisha wanapata ushindi kwenye mechi zao. Pia ameongeza kuwa licha ya kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JS Saoura matokeo ayo wanayasahau na kuangalia mbele kwenye michezo yao inayofuata.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE