Michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) imeendelea leo kwenye viwanja mbali mbali na haya ndio matokeo ya mechi hizo;
Namungo FC 0 - 1 Yanga SC
African Lyon 2-2 (P: 4-3) Mbeya City
Alliance FC 3-0 Dar City