Matokeo ya Ligi Kuu Bara leo

Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea tena leo kwa michezo mbalimbali iliyopigwa kwenye viwanja tofauti.

Yafuatayo ndio matokeo ya mechi hizo:

Kagera Sugar 0-2 Tanzania Prisons
Ruvu Shooting 1-0 Mbeya City
Stand United 0-0 KMC

Mpya zaidi Nzee zaidi