Matukio katika Picha: UVCCM wafanya bonanza kubwa miaka 42 ya CCM


Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM mkoa wa Shinyanga umefanya Bonanza la michezo lililohusisha michezo mbalimbali kwa lengo la kusherehekea miaka 42 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 Mgeni rasmi katika bonanza hilo alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa.