Klabu ya Nantes ya Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kisheria juu ya klabu ya Cardiff City ili iweze kuwalipa ada ya uhamisho wa mchezaji Emiliano Sala ambaye alipotea kwenye ajali ya ndege.
Cardiff City hawajalipa bado kiasi chochote katika makubaliano ya £15m fee kwaajili ya mshambuliaji huyo raia wa Argentina ambapo malipo ya awali yalitakiwa kuwa £5m.
Cardiff wamekataa kulipa hadi uchunguzi utakapokamilika.