Klabu ya Real Betis imeweza kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Atletico Madrid katika mchezo wa Ligi Kuu nchini Hispania.
Bao pekee la Real Betis liliwekwa kambani na Sergio Canales dakika ya 65 kwa mkwaju wa penati.
Mchezo huo umekuwa wa kwanza kwa mshambuliaji wa Atletico Madrid Alvaro Morata baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea klabu ya Chelsea katika dirisha lilifungwa la Januari mwaka huu.