Kutoka katika makao ya kuangalia anga ya Padova yanayopatikana nchini Italia, mwana sayansi wa masuala ya anga Luigi Bedin pamoja na timu ya ke waliokuwa wakifanya utafiti wa kundi la nyota zijulikanazo kama "NGC 6752" walipokea picha kutoka kwenye darubini ya Hubble.
walipozichunguza picha hizo ndipo walıpogundua galaksi hiyo ndogo.
Galaksi kijeba hiyo imepewa jina la "Bedin 1".
