.

2/12/2019

Picha: Anusurika kifo baada ya kujirusha baharini


Mtu mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja amenusurika kifo baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye Boti ya Azam iliyokuwa ikitoka Dar kwenda Unguja.

Tukio hilo lilitokea siku ya jana leo majira ya saa sita mchana, haikujulikana Sababu ya kujirusha kwake. Hata hivyo aliweza kuokolewa na kukimbizwa Hospitali mara moja.