Picha; RC Makonda aongoza msafara wa kutembelea mradi wa SGR


Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda ameongoza msafara wa  wasanii na waandishi wa habari kwa ajili ya kutembelea na kujionea namna shughuli za ujenzi wa reli ya kisasa ya umeme Starndard Gauge Railway (SGR) kutoka Dar es salaam kwenda Morogoro unavyoendelea.