Picha: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amwakilisha Rais Magufuli mkutano wa Wakuu wa nchi za Afrika Adis Ababa Ethiopia


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika (AU) kumwakilisha Rais Magufuli, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa (AU) mjini Adis Ababa Ethiopia Februari 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)