Loading...

2/11/2019

Picha: Waziri Mwakyembe atoa tamko zito kwa Mkandarasi huyu


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe amemtaka Mkandarasi Msimamizi wa Ujenzi wa Jengo la Ofisi za Wizara hiyo kutoka Kampuni ya Mzinga Holdings Company Hagay Mziray kuongeza juhudi ili kukamilisha ujenzi huo kwa wakati.
KWA HABARI, LIVE TV, RADIO, MATOKEO YA LIGI ZOTE DUNIANI DOWNLOAD APP YA MUUNGWANA BLOG <DOWNLOAD HAPA>
Share:
Loading...
Loading...

Popular Posts

Copyright © MUUNGWANA BLOG | Powered by Blogger