.

2/10/2019

VIDEO: Al Ahly watua na chakula chao/ Mchezaji wa bilioni 1 ndani/ Kocha agoma kuongea


Klabu ya soka ya Al Ahly imetua hapa nchini Jumapili hii majira ya alfajiri kwa ajili ya mchezo wao wa marudiano wa hatua ya makundi dhidi ya Simba. Timu hiyo imekuja na kikosi chake cha wachezaji kamili na wanatarajia kushuka dimbani Jumanne ya February 12, 2019 katika uwanja wa Taifa.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE