Kijana anaejulikana kwa jina la Emmanuel joseph magoti ameshikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kukutwa na sare za jeshi la wananchi JWTZ, ambapo katika msako huo imebainika kuwa kijana huyo alikuwa amefungwa na katika gereza la segerea na aliachiwa kwa msamaha wa Rais Magufuli mwaka jana.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE.............
