Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es salaam limewakamata watuhumiwa tisa wakiwemo wanawake wawili Fatuma salumu na halima Revocatus ambao wamekuwa wakishiri kwenye matukio mbalimbali ya wizi wa pikipiki, ambapo wamekiri huagizwa na wahalifu wenzao wa kiume.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSBSCRIBE.........
