Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ametoa vitambulisho 32,000 kwa wafanyabiashara wamachinga wa jiji la Arusha ambapo amesisitiza waendelee kujitokeza ili kuchukua kwa wale ambao wanajua kweli ni machinga.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE