VIDEO: Diwani wa Chadema avuliwa Uenyekiti


Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wa Babati  Fortunatus Fwema, amesema wameamua kumuondoa aliekuwa mwenyekiti baada ya tume iliyoundwa na mkuu wa mkoa wa Manyara  Alexander Mnyeti kubaini ukweli wa tuhuma zinazomkabili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE