VIDEO: Harmonize mikoni mwa Polisi, asalimu amri ya Makonda

Leo Jumatano Februari 6, 2019 mwanamuziki wa bongo fleva nchini Harmonize amejisalimisha katika kituo kikuu cha polisi jijini Dar es Salaam ambapo anatuhumiwa kwa kuvuta kitu kinachofanana na bangi alipokuwa nchini Ghana hivi karibuni.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items