LIVE VIDEO: Alichokisema Rais Magufuli kwenye siku ya Sheria


Rais Magufuli aipongeza mahakama kwa mafanikio waliopata mwaka jana ambapo amedai kuwa ameona mabadiliko mengi sana.

Vile vile amemuondoa hofu spika ndugai kuhusu bundi na kumsihi waende viongozi wa dini na bundi hatatokea tena.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE.........

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items