Picha:Semina ya Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania


Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akizungumza na Umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG) wakati wa semina ya mafunzo ya malezi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items