VIDEO: JK alivyoiga sauti ya Odinga, Mandela, Sugu na mastaa wakubwa
byMuungwana Blog 1-
0
Mbali ya kuwa msomi mkubwa wa elimu ya Chuo Kikuu, JK Comedian ni miongoni mwa wasanii ambao wamebarikiwa kuwa na kipaji kikubwa cha uchekeshaji hasa katika kuigiza sauti za viongozi mbali mbali duniani na watu maarufu.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE