VIDEO: Hussein Bashe auwasha moto Bungeni ''Lazima tuishauri Serikali kwa Ukweli''

Mbunge wa jimbo la Nzega, Hussein Bashe ameuwasha moto bungeni wakati akichangia kwenye Kamati ya Bajeti ambapo amesema Serikili lazima ishauriwe kwa ukweli hususani inapofanya mabadiliko katika mipango yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Mpya zaidi Nzee zaidi