.

2/14/2019

VIDEO: Kauli ya Lugola sakata la Lissu yazua kizaazaa, CHADEMA wamjibu A-Z


Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo Februari 14, 2019, wamemjibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola ambaye jana amemtaka, Tundu Lissu kurejea Tanzania ili kusaidia upelelezi wa tukio lake la kushambuliwa kwa risasi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE\