.

2/11/2019

VIDEO: Kocha Al Ahly afunguka mbinu aliyowafunga Simba 5-0/ Kuhusu mechi ya marudiano


Kocha wa Al Ahly Martin Jol amefunguka kuhusu mechi yao ya marudiano yahatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika Jumanne hii dhidi ya Simba katika uwanja wa Taifa. Pia kocha kuyo amefunguka kuhusu mbinu alizozitumia kuwafunga Simba magoli 5-0 kwenye mechi ya kwanza wiki iliyopita. Ameongeza kwa kuzungumzia kuhusu hali ya hewa ya hapa nchini.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE