.

2/11/2019

VIDEO: Viingilio mechi ya Simba na Yanga vyawekwa wazi/ TFF yatoa tamko


Shirikisho la soka Tanzania kupitia kwa Afisa Habari wake, Cliford Ndimbo, amefunguka kuhusu mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba ambayo itachezwa Jumamosi ya February 16, 2019. Pia Ndimbo ameongeza kwa kutaja viingilio vya mchezo huo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE