Naibu katibu mkuu Chadema Zanzibar, salum mwalimu amesema kuwa chama chao hakijawahi kumzuia mtu kugomea urais ila huwa wanaangalia utaratibu wao wa namna ya kutangaza nia, ambapo amesema kuwa iwapo lissu atania ya kutangaza nia atafuata sheria.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...........USISAHAU KUSUBSCRIBE.............
