VIDEO: Wanawake wa Kizanaki wakienda kuchunga ng'ombe wanarudi na Mimba


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Busegwe katika Wilaya ya Butiama mkoani Mara Alex Paul, amesema mila za kabila la kizanaki hazimruhusu mwanawake kupeleka ng'ombe malishoni kwani wakienda wanarudi na ujauzito pamoja na mabinti kupata mimba wakiwa na umri mdogo.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE............

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items