Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Ilemela mkoani Mwanza Michael Goyele kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo hilo pia Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Angeline Mabula, amekabidhi mifuko 400 ya chokaa kwa shule za msingi 75 kwa lengo la kung'arisha mazingira na madarasa yaliyojengwa kwa ushirikiano wa Taasisi Angeline Foundation na Halmashauri hiyo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE.............
