VIDEO: Kununua Miwani mtaani kunasababisha ubovu wa macho


Mganga mkuu wa mkoa wa Arusha Dk Wedson Sichalwe amesema kuwa magonjwa yasiyoambukizwa yaweza kuwa moja wapo ya kitu kinachosababisha ugonjwa wa macho huku akisema ugonjwa wa macho siyo wa kurithi kama wengi wanavyoamini.

Akizungumza katika Zoezi la Siku Mbili la Upimaji wa macho katika kityo cha afya Muriety jijini Arusha Dk Wedson amewataka wananchi kujitokeza ili kujua afya za macho yao.

Kwa Upande wake Dk Recho masawe anayepima macho amesema kuwa kununua miwani ya mitaani ambayo kitaalamu haijapimwa na daktari inaweza kuwa sababu pia ya Kupata Ubovu wa macho.


TAZAMA FULL VIDEO CHINI.........USISAHAU KUSUBSCRIBE............

Mpya zaidi Nzee zaidi