VIDEO: zaidi ya Bilioni 90 zapitishwa Arusha kwaajili ya maendeleo


Halmashuri ya Jiji la Arusha Limepitisha bajeti ya zaidi ya Sh Bilioni 90 kwa jili ya shughuli za maendeleo kwa Jiji la Arusha baada ya mchakato ya wa majadiliano kwa mwezi mmoja.

Akizungumza Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Kalist Lazaro ameesema haijawahi kutokea na bajeti imejikita katika sekta zote.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..........USISAHAU KUSUBSCRIBE..........

Mpya zaidi Nzee zaidi