VIDEO: Mwenyekiti UVCCM, awatolea uvivu, awachana wanaccm kuwa ni wanafiki


Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Kheri James amesema kuwa hakuna Umoja bila haki pamoja na usawa huku akiwataka wananchi pamoja na wana CCM kuwa na Upendo wao kwa wao huku akisema huwezi kusema una umoja kama unagawa wenzako. 


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE.............


Mpya zaidi Nzee zaidi