VIDEO: Nyerere asimulia tasnia ilivyomtesa, Chozi lamtoka


Kila mtu anahistoria pana ya maisha yake ambapo wengine wakikuhadithia ni kama pilipili imekuingia machoni, lazima chozi likutoke lakini wengine maisha yao mengi waliyopitia ni kama kulamba asali - Utatamani muda wote urudie kuilamba. Mchekeshaji Oscar Nyerere ameelezea japo kidogo yale aliyopitia kwenye tasnia yake hiyo mpaka alipofikia kiasi ambacho ilimshinda kuendelea kuongea na waandishi wa habari huku chozi likiwa karibia kumtoka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi