Mchekeshaji ambayue ameteka vichwa vya watu Dogo Pepe amesimulia mwaka 2018 ulivyokuwa mbaya kwa upande wake na jinsi ulivyopelekea mpaka kuvamiwa na vipaka na kuporwa kiasi cha fedha zaidi ya shilingi laki tano, simu pamoja na kuchomwa kisu kwenye maeneo ya mkono.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
