VIDEO: Magoli yote ya Coastal Union na Yanga (1-1)


Klabu ya Yanga imeshindwa kupata matokeo ya ushindi katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga ambapo walikuwa wakicheza na Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Kwenye mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1 ambapo Coastal walikuwa wa kwanza kupata goli katika kipindi cha kwanza na Yanga walifanikiwa kusawazisha kwenye kipindi cha pili.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE 
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items