Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera ameonekana kuwalipua shirikisho la soka nchini TFF, Bodi ya ligi pia amewajia juu waamuzi kwa madai ya kuwa viongozi wengi wanaharibu mpira kutokana na kuwa na mapenzi makubwa na timu za Simba na Yanga hali inayochangia kuharibu mpira wa Bongo.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
