.

2/10/2019

VIDEO: Mchezaji wa Serengeti Boys aacha historia Uturuki/ Wazungu wateseka


Mchezaji wa timu ya taifa ya vijana Serengeti Boys, Rabin Sanga ambaye siku chache zilizopita alienda nchini Uturuki kufanya majaribio kwenye timu ya vijana ya Beşiktaş amefunguka kiwango alichokionyesha mpaka wazungu wamemkubali. Hata hivyo Rabin amedai hali ya hewa ya baridi na lugha ilikuwa kikwazo kwake lakini aliweza kupambana navyo mpaka kuweza kujiwekea historia yake.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE