VIDEO: Nyumba zachomwa moto/ Watu wakosa makazi


Zaidi ya  maboma kaya ishirini  mbuzi  na vyakula katika  kijiji cha mfereji wilaya ya monduli  yameteketea kwa kuchomwa moto  na  watu  wanaodaiwa   kutoka wilaya ya arumeru kwenye mgogoro wa kugomea mpaka na eneo la malisho  kwa watu wa jamii ya kifugaji.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE