VIDEO: Rais Magufuli akabidhi milioni 200 Channel Ten ''Huwezi kwenda mbinguni bila kufa''

Mwenyekiti wa Chama cha Mapiunduzi CCM na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ametimiza ahadi yake ya kutoa shilingi milioni mia mbili  kama alivyoahidi jana kwa wafanyakazi na watumishi wa kampuni inayomilikiwa na chama cha mapinduzi  ya afrika media group limited yenye vituo vya habari vya runinga na radio ikiwemo channel ten,dtv na ctn pamoja na radio ya magic fm.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia