VIDEO: Sakata la Madiwani kudaiwa kupigana zawekwa wazi A-Z
byMuungwana Blog 1-
0
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru, William Njau amekanusha tarifa ambazo zinasambaa mitandaoni zikidai kuwa Madiwani wawili wa Viti maalum walipigana kisa kugombea mwanaume ambaye pia ni diwani wa moja ya kata iliyoopo Meru.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE