VIDEO: RC Makonda na Zitto Kabwe msibani kwa Ruge Mutahaba


Viongozi mbalimbali wamefika kutoa pole nyumbani kwa familia ya Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group (CMG) Ruge Mutahaba ambaye amefariki siku ya jana.

Miongoni mwa viongozi hao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mbunge wa Kigoma Mjini na kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI, PIA SUBSCRIBE... 

Mpya zaidi Nzee zaidi