.

2/11/2019

VIDEO: Sakata la Trillion 1.5 Kutumika vibaya na serikali, wabunge hawa waliweka sawa


Mbunge wa kilindi Tanga Mh. Omary Kigua amelivaa sakata la Trillion 1.5 ambalo linaonekana kwamba serikali imeitumia fedha hiyo, limewekwa sawa leo katika ofisi za bunge ndogo zilizopo jijini Dar es Salaam ambapo amedai kuwa serikali ilimuagiza CAG kwenda kufanya uhakiki.


TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE.........