VIDEO: Waziri Mpina apiga "STOP" makongamano ya kumpongeza Rais Magufuli


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amepiga marufuku  makongamano ya wafugaji yenye lengo la kumpongeza Rais Dk John Magufuli kwa uamuzi aliochukua wa kuwasaidia badala yake ametaka watumie kipindi hiki kifupi walichopewa kuanisha maeneo ambayo yamepoteza sifa za uhifadhi yaweze kuchukuliwa  kwa ajili ya malisho ya mifugo.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE